Kanisa La Kiinjili La Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) ni miongoni mwa Dayosisi za KKKT.
Waumini wa Kikristo wamekumbushwa kuwa na tabia ya utii na unyenyekevu na kuwaheshimu watu wote, kwa sababu hizo ndizo tabia alizokuwa nazo Bwana Y
Wakristo nchini wameungana na wakristo wengine Duniani Kote kusherekea sikukuu ya Pasaka ambayo ni kumbukumbu ya kufufuka kwa yesu Kristo siku ya t
Askofu wa KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dkt. Alex Malasusa amewasihi Wachungaji, Wainjilisti na Watumishi wengine katika Kanisa hilo kuacha
Wanawake wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, watatumia siku ya Ibada ya Tembea na Kristo kumwombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Su
Wakati wakristo wakiwa wameanza Juma Takatifu, ambalo ni adhimisho la kukumbuka mateso, kifo na kufufuka kwa Bwana na Mwokozi Yesu Kristo, wito ume
Habari kubwa ya gazeti la Upendo inahusu kauli ya viongozi wa dini waliozungumza na Upendo Media ambao wanaeleza kuwa na imani na Rais wa sita wa J
IJUMAA ya Machi 26, 2021 ndiyo siku ambayo mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dk.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli amefariki dunia.
Msaidizi wa Askofu wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dean Chediel Lwiza ameongoza Ibada ya kumtakia heri Mchungaji, Richard Jackson Hananja w