Askofu wa KKKT - Dayosisi ya Mashariki na Pwani Dkt. Alex G. Malasusa anasikitika kutangaza kifo cha aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa KKKT - Dayosisi ya Mashariki na Pwani Balozi Richard Mariki kilichotokea Jumapili  Januari 24, 2021

Habari ziwafikie:
1.Viongozi na watendaji wote wa KKKT Dayosisi Mashariki na Pwani
2.Wachungaji wote wa KKKT Dayosisi Mashariki na Pwani
3.Washarika wote wa KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani

Msiba upo nyumbani kwa Marehemu Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.