Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) - Dayosisi ya Kaskazini (DK), Arthur Shoo amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC alikokuwa akipatiwa matibabu.

Askofu Mkuu wa KKKT, ambaye pia ndiye Askofu wa Dayosisi hiyo, Dkt. Fredrick Shoo amethibitisha taarifa hizo za Katibu Mkuu kutwaliwa.

Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia Upendo Media